Msaada wana Jamii

Msaada wana Jamii

mojoki

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
1,313
Reaction score
290
Ndugu wananchi wa JF! kajana wenu mpendwa ninatarajia kwenda kufanya interview kwenye kampuni moja ya simu ofcoz customercare position xaxaa naombeni msaada wa maswali i mean samples kama kuna mtu yeyote mwenye uzoefu wa haya masuala...ili kijana wenu nitakapokua nimesimama wima mbele ya hadhira nisije shikwa na kigugumizi...IN SHORT "ANY ONE FOR HELP>CUSTOMER CARE SAMPLE QUESTIONS<...Thank you very much wote mtakao changia -vely or +vely.
 
Plz cheki kwenye google,yapo ila specify position utapata. All the best dia.
 
thx u very much super dear
 
Back
Top Bottom