Msaada Wana Jamiii wenzangu wa tatizo la nguvu za kiume

Umejua je?
 
Achukue asali nyuki wadogo nusu lita, achukue Tangawizi ile mizizi mitatu,vitunguu saumu robo kilo, karafuu robo kilo, na Mdalasini robo kilo aponde vyote then achanganye na asali mchanganyiko huo wote awe anakula mara tatu kwa siku mpaka iishe basi mambo yanarudi kama kawa yaani dushe litampa jibu
 
Punyetooooooo hiyo hahahaha na picha za xxxxxx
 
Hata mimk nina tatizo hilo mazee
 
Tatizo la nguvu za kiume ni vyakula na kutokufanya mazoez tiba yake kula vitu vya asili sana na zoezi la kukimbia kila siku zingatia na chakula hapo utanipa matokeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…