Wanajamvi naombeni mnijuze na kunifahamisha kuhusu hii course inaitwa "BA(GEOGRAPHY AND ENVIRONMENT STUDIES)"
baada ya kuhitimu je kazi zipi ambazo mhitimu anaweza kuzifanya na pia upatikanaje wa ajira zake ukoje
kwa yeyote mwenye kujua naomba msaada wake
NAWASILISHA