Gwataimbwa
JF-Expert Member
- Sep 15, 2014
- 343
- 125
Wakuu naomba msaada wa tatizo hili nililonalo mara nyingi nikitembea umbali wa kilomita 3 mwili wangu hasa sehemu ya mapaja na nyuma ya magote huwa yanawasha sana ambapo huwa najikuna sana. Siyokwamba unapojikuna labda kunatokea ukrutu au upele laa. Na tatizo hili linanitesa sana hasa pia wakati wa kufanya mazoezi asubuhi.Je tatizo ni nini? Nisaidieni