msaada wana jf kuhusu gharama za chuo

mbugi2013

Member
Joined
Aug 17, 2013
Posts
39
Reaction score
4
samahan wana jf kwamfano mwaka wa kwanza akibahatka kupata mkopo toka bodi ya mikopo kwa asilimia mia ni gharama zp atahtajka kuzilipa anaporipot chuo?na ile pesa ya matibabu kwa wale wenye bima ya afya inakuaje?msaada tafadhari
 
chuo gan mkuu?
 
kwa sie wenye bima ya afya inakuaje ile pesa ya matibabu tunalipa.
 
udom kama ni direct coast haizidi laki tatu kwa mwaka but ada inategemea na college uliyopo mfano
college of Education wameonyesha laki 7 exept wale wa science

caast> pwani?? , cost>ghrama??
 
udom kama ni direct coast haizidi laki tatu kwa mwaka but ada inategemea na college uliyopo mfano
college of Education wameonyesha laki 7 exept wale wa science

caast> pwani?? , cost>gharama??
 
sasa UdoM chuo sema katA ya dom

sina shaka wewe bado fresh from school limbuken na maswala ya vyuo ndomaana unakejeli baadh ya vyuo,hujui maisha na hujui kuwa utakapomaliza hapo mkwawa unaweza ukawa chni ya aliemaliza ktk vyuo unavyovibeza au ukasota mtaan na waliomalza ktk vyuo vya kata kama unavyoviita wakawa wanapokea cv zako na kuziweka kushoto na kukupa ahadi kibao za njoo kesho,nakushaur ujasibu kuwauliza waliokutangulia kwasababu wanajua meng zaidi yako,natamani siku 6ja nikuone kijana,i hope itakuwa hvyo sababu home ni ilala ya iringa jirani kabisa na mkwawa chuo.
 
udom kama ni direct coast haizidi laki tatu kwa mwaka but ada inategemea na college uliyopo mfano
college of Education wameonyesha laki 7 exept wale wa science

asante mkuu!vp kuhusu matibabu?mtu akiumwa anatibiwa na chuo?na vp kuhusu ada lazma ulipie wakat unaripot?
 
sasa UdoM chuo sema katA ya dom
mda kama huu ulitakiwa uwe MILEMBE na wenzako nashangaaa upo huku! au cku hizi uongozi wa Hospitali umeweka huduma ya internet kwa ajili ya kuchezea wagonjwa? Hongera JK hadi Vichaa wanauwezo mkubwa kutumia internet...Kama kweli una akili Timamu sioni 7bu ya kubeza chuo cha mwenzako.
ONYO>ctaki kurumbana na ww mimi sio level yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…