Msaada wana jf,,,; kuhusu heslb

Msaada wana jf,,,; kuhusu heslb

Hard drive

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2013
Posts
265
Reaction score
62
Habar wana jf nimepata tatizo wakati najaza fomu ya mikopo, baada ya kulipia nikapata muhamala wa mpesa, nikaanza kujaza fomu nlipofka sehem ya kusubmit email mtandao ukayumba ukanirudisha mwanzo, siku nyingine nilipojaribu kulog in ikaandika ''your account has been crashed and should be repaired'' nilipojaribu kuwasiliana nao wakaniambia kuna namba nakosea mara waseme mtandao upo weak mara waseme information bado hazijajazwa/ je naweza lipia tena wanipe namba mpya kama muhamala wa mpesa? or nikosa kulipia namba moja mara mbili?
 
Back
Top Bottom