Naombeni mnisaidie nukta hizi 2:-
1) Ni kipi kisichotakiwa kwa vijana ambapo kimo katika katiba ya sasa
2) Ni kipi kiwemo ktk katiba ijayo chenye maslahi kwa vijana.
yanahitajika maelezo marefu , labda la msingi tambua kuwa katiba inatokana na watu ,hivyo ndio wana uwezo wa kuamua kipi kiwemo kwenye katiba na kipi kisiwemo.