Msaada Wana JF. Naomba kujuzwa mikoa au wilaya zenye Waislam wengi hapa Tanzania bara.

MNYISANZU

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2011
Posts
7,046
Reaction score
1,102
Wanabodi. Kuna academic analysis naifanya na moja ya eneo ambalo natakiwa kulifanyia analysis ni 'religious distribution' hapa Tanzania bara. Naombeni msaada wenu kwa kunitajia mikoa au wilaya zenye Waislam wengi.
 
Kwa ulewa wangu ni tanga,lindi pwani na tabora
 
Nenda bakwata watakuambia,au mpigie sheh ponda
Mkuu sijui zilipo ofisi za BAKWATA wala sina namba za Sheikh Ponda. Naomba msaada kwa mtu humu kupitia members.
 
Wanabodi. Kuna academic analysis naifanya na moja ya eneo ambalo natakiwa kulifanyia analysis ni 'religious distribution' hapa Tanzania bara. Naombeni msaada wenu kwa kunitajia mikoa au wilaya zenye Waislam wengi.

Rufiji,kondoa,pemba,unguja,tanga,lindi,mtwara
 
Ungeniambia unafanya utafiti wa nini ningekwambia lkn kwa kuwa siijui nia yako sitakwambia. Isije ikawa una mipango ya kuwadhuru
 
Mbona uko upande mmoja tu. Unauliza mikoa na wilaya zenye waislam na siyo wakiristo? Unafanya moslems distributions au...?
 
Unataka kuanzisha kikundi kama cha Uamsho nini?Maana sioni mantiki ya wewe kutaka kujua kundi moja tu la dini.
 
cjuwi niya yako lakini uendako cko unakotakiwa kufika 'naomba moyo wako uachane na tafiti hii kwani matokeo yake ni athari kubwa sana
 
Ni academic issue na sina maana nyingine yoyote mbaya.
 
Wanabodi. Kuna academic analysis naifanya na moja ya eneo ambalo natakiwa kulifanyia analysis ni 'religious distribution' hapa Tanzania bara. Naombeni msaada wenu kwa kunitajia mikoa au wilaya zenye Waislam wengi.
Kwa kuwa unafanya hiyo kazi naomba utuambie Tanzania bara tuna dini ngapi?
 
Back
Top Bottom