Msaada Wana JF. Naomba kujuzwa mikoa au wilaya zenye Waislam wengi hapa Tanzania bara.

tunaishia kujadili maswala yasiyo na msingi 2 ,hyo academic analysis yako inatufanya tuhoji uelewa wako wamambo mkuu !
 
Mijitu mingine sijui wanaletaga thread kama hii humu ya nini! Si ungeenda Bakwata ukapewe idadi!
 
Wanabodi. Kuna academic analysis naifanya na moja ya eneo ambalo natakiwa kulifanyia analysis ni 'religious distribution' hapa Tanzania bara. Naombeni msaada wenu kwa kunitajia mikoa au wilaya zenye Waislam wengi.

TAtizo si analysis unayotaka kufanya.Religion distribution unayotaka ni ya waislam tu?Hizo nyekundu zinauhusiano gani?
 
Kwa mkoa Ruvuma,wilaya ya Namtumbo na Tunduru,Songea mjini haikufai ni nusu kwa nusu.
 
tafuta mikoa maskini ndio yenye waislam wengi
 
Unasoma chuo gani mkuu? Sijaelewa maana ya academic analysis, una maanisha utafiti au kitu kingine? Sample design yako inasemaje? Kwa nini analysis yako uilekeze kwa waislam tu? Una nia njema kweli? Title ya analysis yako inasema?
 
Wanabodi. Kuna academic analysis naifanya na moja ya eneo ambalo natakiwa kulifanyia analysis ni 'religious distribution' hapa Tanzania bara. Naombeni msaada wenu kwa kunitajia mikoa au wilaya zenye Waislam wengi.

mikoa hiyo ni Manchester united,Arsenal,Madrid,Barcelona,Ac Milan,Bayern Munich na Juventus. Upo hapo.
 
Hyo ni thesis unafanya? Duh! Ndo maana hatuendelei! Kamchek Ponda ana majibu!
 
put clear your intentions coz am scared of you rainaw,why muslims only? who sent you?,where were you born?
 
tafuta mikoa maskini ndio yenye waislam wengi

ruvuma,manyara,Rukwa,simiyu,katavi,kagera,dodoma n.k pia usisahau mikoa yenye majangili kama Arusha,k.njaro huko waislam wapo wengi sana!
 
Hapa ndipo Serikali ilipokosea kusema kwamba haitakai kujua dini za watu.
 
Hapa ndipo Serikali ilipokosea kusema kwamba haitakai kujua dini za watu.

Agenda ya waliotaka sensa ihusishe dini walitaka kuanzisha mambo mengine mengi sana kujiunga na OIC,baadae waanzishe mahakama za kadhi kwa gharama za serikali,na mengine mengi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…