Ibrahim K. Chiki
JF-Expert Member
- Apr 5, 2011
- 594
- 163
mi ni HE ndugui,,,,aged 24We she au he?
kampala interanational university-uganda .umemaliza chuo gani?

Marhaba umeshatuma applications wapi na wapi?

hebu nenda kwenye makampuni ya recruiting pia

radar recruitment,goli,biz online....
pole sana,usikate tamaa,na wala usichoke kuziandika hizo application mtu wangu..wewe ni mmoja katika zaidi ya laki moja graduate walio mtaani pasipo ajira kutokana na mfumo mbovu wa utawala,chamsingi unapotafuta ajira usitafute ajira kutokana na elimu au fani yako pekee utajilimit sana katika opportunity...pia jitahidi kukumbuka past network uliyotengeneza toka shule ya msingi mpaka chuo kwani ajira nyingi hivi sasa kina kamlete ndio wanaofaidika nadhan umenipata mkuu... dont give up.
Don

Umeongea vema ndugu, tukomae tu sie tusiokuwa na Godfather...ushauri mwingine ni kwamba jaribu kutuma CV yako pale Taesa(Tanzania employment service agents)...nadhani unapafahamu, karibu na mnazi mmoja(kama upo dar)