Msaada wana JF

Msaada wana JF

ethicx

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2012
Posts
311
Reaction score
126
Eti inawezekana kwa mtu aliyesoma Diploma ya computer engineering nakupata GPA ya 4.2 na O-Level Chemistry A, Physics A, Biology B na Mathematics B kupata nafasi yakujiunga na bachelor ya Doctor of Medicine hapa bongo na kupata mkopo?
 
Una performance nzuri ila sijui kama una jina kubwa kama vile Kikwete, Mkapa, Mwinyi, Msekwa, Makamba, Lukuvi, Nagu na mengine mengi.
 
Back
Top Bottom