duocore Member Joined Aug 27, 2012 Posts 55 Reaction score 5 Mar 6, 2013 #1 Wana jamvi naomba mwenye kujua tiba ya mgongo kwa diski zilizokaukiwa maji na zilitoka sehemu zake. Nipo DSM. Tiba mbadala tafadhali. Asanteni
Wana jamvi naomba mwenye kujua tiba ya mgongo kwa diski zilizokaukiwa maji na zilitoka sehemu zake. Nipo DSM. Tiba mbadala tafadhali. Asanteni