Original Pastor
JF-Expert Member
- Nov 14, 2007
- 1,274
- 51
habari jf
naomba msaada kama kuna mtu anayo software ya ku upgrade ram na hard disk kwani laptop yangu lg express dual f1 memory yake 1012mb na hdd ni 110gb nataka ram ifika 3gb na hdd ifike 500gb please jf naomba msaada
pole mkuu, ushauri huo hapo juu, naongezea tu kabla hujanunua hardware yoyote nenda kwenye site ya lg uangalia uwezo wa mwisho wa pc yako kubeba HDD na RAM (EXPANDABILITY), kama ww hauko handy na star ndogo basi nenda nayo dukani unakonunua hizo hardware watakuwekea Bure, usinunue tu hvhv RAM zingine zinaweza ziskubali kwako! Most of rams and hdds ni plug and play baba, unachomeka na kufunga tu kisha muziki juu.