mayuni JF-Expert Member Joined Apr 23, 2012 Posts 404 Reaction score 32 Jan 1, 2014 #1 Kuna mwana bongo flava mmoja aliimba wimbo wa Nikizipata" msanii anaitwa Illuka. Daaaaah wa kitambo sana mwenye detail zake anipe kidogo namkubali sana huyu jamaa
Kuna mwana bongo flava mmoja aliimba wimbo wa Nikizipata" msanii anaitwa Illuka. Daaaaah wa kitambo sana mwenye detail zake anipe kidogo namkubali sana huyu jamaa
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,563 Reaction score 48,223 Feb 20, 2019 #2 WADAU msaada wenu unahitajika
Kanungila Karim JF-Expert Member Joined Apr 29, 2016 Posts 20,743 Reaction score 25,564 Feb 20, 2019 #3 Wanakuja