msaada wana mzumbe

CABANA

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2013
Posts
420
Reaction score
556
habari zenu wana mzumbe, naombeni kujua lini mwisho wa kulipa tution fee.halafu kwani tunalipa kila kitu kupitia akaunti ya chuo au vingine tunalipia main camp. KM ada ya MUSO,hostel fee n.k. msaada wengine wageni pale.
 
Hi! Naomba na mm utanijulisha ukipata majibu sahihi na mm nimechaguliwa mzumbe bachelor of local gvt ila nimekosa mkopo sjui dedline n ln.....
 
habari zenu wana mzumbe, naombeni kujua lini mwisho wa kulipa tution fee.halafu kwani tunalipa kila kitu kupitia akaunti ya chuo au vingine tunalipia main camp. KM ada ya MUSO,hostel fee n.k. msaada wengine wageni pale.

0712 787161 nicheki hapa nikuelekeze!
 
habari zenu wana mzumbe, naombeni kujua lini mwisho wa kulipa tution fee.halafu kwani tunalipa kila kitu kupitia akaunti ya chuo au vingine tunalipia main camp. KM ada ya MUSO,hostel fee n.k. msaada wengine wageni pale.

muso inalipiwa bank ndio,na hostel pia wewe unatakiwa kuja na pay in sleep zako tu pia hakikisha utakapokuja kufanya registration uwe ushalipa ada vinginevyo itakucost:A S-confused1:
 
Na kwa first year ada inalipwa nusu then nyingine inalipwa semister nyingine au yote mana fee ni m moja na laki tatu msaada jaman
 
Apa ata mm inanihusu mm wa mzumbe mbeya ila ada nmeshalipa bado hostel
 
aiseee asante mkuu wamlola... hapo sina swali lingine:target:
 
Hata mie wa mzumbe lgm ada inalipwa ya semister moja; nhf, accommodation (semister moja vyote) ila muso na caution money ni yote
 
Dah! napenda Mzumbe jamani. pale pana mtindo fulani wa maisha binafsi nimeona ni wa pekee tofauti na vyuo vingi hapa Tz hasa vyuo vilivyo maeneo ya mijini. Nilikuwa pale 2000-2002. Nitarudi tena kwa utalii wa ndani... Panapo Uhai na Afya njema.
 
Kuwa makin unapouliza. ndo maana kla chuo kna sifa znazotofautsha na chuo kngne na hapa ndipo upekee unajitokeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…