Jaman mi napata wakat mgumu wa kutumia haina ya pen kujaza phome za mikopo pamoja picha zangu za muombaj zinapigwa muhur wa s/mtaa au hazipigwi,pia swala la TCU una aply vip vyuo msaada wenu[/
Print kwanza fomu kisha soma maelezo yote utaelewa na si kukurupuka kuweka Post humu Jf.