Habarini wadau,ningependa kupewa taarifa kuhusu kujiunga na Bima ya Afya je ni inatakiwa kujiunga kabla hujaenda chuo ama ukifika chuo ndio kuna utaratibu wa kujiunga huko?Maana kwenye website ya NHIF sijaona maelekezo yaliyonyooka ya wapi unatakiwa kujiandikishia na wapi kuchukulia hizo forms za registration.Thanks in advance
usijiunge kwanza, subiri mpaka ufike chuo, maana kuna ile laki 1 ya medical capitation kwenye direct cost haitakua na kazi tena kama ukijiunga na NHIF,
mimu binafsi sijajiunga mpaka nipate taarifa zaidi
Utazikuta chuoni hukohuko, maana hata hapa Eckernforde Tanga wamekuja wenyewe. Wanadai kuwa gharama ni Tsh 50400 kwa mwaka. Nenda chuo tu mkuu, inawezekana ikawa kila chuo kinautaratibu wake.