Inawezekana kama 2 unavigezo kulngana na degree course requirement unayotaka kuamia bt tym iz limited ukichelewa sn inakula kwako pia kutoka fani ya ualimu kwenda fani yoyote ili hawaruhusu hata kwa hongo,nakushaur kuanzia tar 12/10 uwepo chuo na umalze reg kwanza then anza mchakato,zaid onana na DOS atakusaidia sn
kubadilisha course inawezekana ila ungetujulisha umepata course gan na unayotaka kwenda sasa ni ipi na pia kuhusu mkopo inaweza kuleta tatizo kidogo kama umepangiwa course ya miaka3 na unaenda ya miaka4 au miaka5!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.