Msaada wanabodi.

Muntu Ya Pori

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2013
Posts
222
Reaction score
64
Wadau wa masuala ya taaluma ya elimu ya juu, ninawaomba mnichagulie ni fani ipi ninaweza kusoma na nisijutie nikiwa mtaani baada ya kuhitimu.Fani zenyewe ni Electrical Engineering, Mechanical Engineering na Architecture. Hayo ndo machagua ninayotaka kuapply ila nimeona ni vyema niwashilikishe wadau. Mwaka jana nilipata Mech Eng(CoET) ila sikupata loan hivyo sikwenda chuoni ndio maana inanibidi niapply tena mwaka huu.
Masada wako unahusika sana.
 
Mechanical ni nzuri kwa sababu Ina watu wachache sana Kirkland na ugumu wake, ila architecture ili kuipata lazima uwe na matokeo mazuri na wewe mwenyewe uwe na jitihada darasani ndo utaiweza, vile vile nikuhakikishie katika kozi nzuri na architecture imo kwa ushauri wangu kapige architeture
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…