Msaada wanaJamii Forum

Joined
Aug 20, 2013
Posts
19
Reaction score
2
Kwa waliochaguliwa; Joining instruction and admission letters watazpataje?
coz nimepata chuo teku na mm npo tanga.

  • :help: me plz

 
Kwa waliochaguliwa; Joining instruction and admission letters watazpataje?
coz nimepata chuo teku na mm npo tanga.

  • :help: me plz


joining instruction huwa zinapatikana kwenye chuo husika au sometimes huwa wanaweka kwenye website yao.
 
Kwenye website yao ila kuna baadhi ya vyuo huwa wanatuma kwa Postal address yako,lakini mara nyingi inakuwaga late kidogo vizuri zaidi ukapata preliminary info zao kwa web!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…