Kisaka80 Senior Member Joined Feb 4, 2012 Posts 151 Reaction score 94 Apr 16, 2014 #1 Tafadhali naomba mnisaidie kiswahili fasaha kwa neno hili "Undecided" . Natanguliza shukrani zangu kwenu. Asante.
Tafadhali naomba mnisaidie kiswahili fasaha kwa neno hili "Undecided" . Natanguliza shukrani zangu kwenu. Asante.
M mpendwa789 JF-Expert Member Joined Dec 31, 2013 Posts 226 Reaction score 110 Apr 16, 2014 #2 Kisaka80 said: Tafadhali naomba mnisaidie kiswahili fasaha kwa neno hili "Undecided" . Natanguliza shukrani zangu kwenu. Asante. Click to expand... 'to be undecided' - kutokujua la kuamua; kuyumbayumba; kurajua; kutokuamua
Kisaka80 said: Tafadhali naomba mnisaidie kiswahili fasaha kwa neno hili "Undecided" . Natanguliza shukrani zangu kwenu. Asante. Click to expand... 'to be undecided' - kutokujua la kuamua; kuyumbayumba; kurajua; kutokuamua