Msaada wanaJF kuhusu vipodozi vilivyozuiliwa

naro

Member
Joined
Apr 15, 2013
Posts
96
Reaction score
36
WanaJF, mimi nataka nianze biashara ya duka la vipodozi, nilikuwa naomba kwa mwenye kujua vipodozi vilivyozuiliwa aniorodheshee hapa ili nisije nikaanza biashara yangu vibaya, naogopa kupata hasara zinazoweza kukwepeka.

Au kama kuna namna ya kujua bidhaa halali nijuzeni jamani maana jinsi nilivyokuwa najua nilidhan mpaka pawe na maneno ya TBS, lakini nimeshangaa kuona vitu vingi ninavyotumia hapa nyumbani havina neno TBS au TFDA, nikaona bora nipate ushauri kabla sijaenda kununua mzigo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…