Msaada wanajf kwa mwenye kufahamu

Yasin Yahya

Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
33
Reaction score
0
Kwa mfano kwa kutumia matokeo ya mwaka jana(2012) jinsi yalivyo kuwa yametoka.
Matokeo ya mwanzo kwa mfano mtu akawa amepata IV 33 akaamua bora arudie mtihani,matokeo ya pili yalivyo toka akawa amepata IV 30.
Je?huyu mtu anaweza kuapply chuo wakati amesha jisajiri kufanya mtihani
 

Mimi nashauri afanye tena mtihani ili kujisafishia njia kwa manufaa ya kudumu baadaye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…