Kumbila medi
Member
- May 31, 2017
- 99
- 69
we wewe bado Ni mtoto Sana, subir ten yearsMsaada ninaohitaji hapa wana jf ni kwa wale wataalamu wa masuala ya Reproduction. Tupo ktk ndoa yapata miezi saba sasa na hakuna dalili za upatikanaji wa mimba. Naomba mnisaidie kwa mnofahamu kuhusu utungishwaji wa mimba Nina ham sana ya kuitwa baba.
Msaada tafadhali!!!
Nawasilisha kwenu wakuu.
Angalia huo mzunguko.kuanzia tarehe 11 mpaka 16.kandamiza kisawa sawa mimba lazima.Msaada ninaohitaji hapa wana jf ni kwa wale wataalamu wa masuala ya Reproduction. Tupo ktk ndoa yapata miezi saba sasa na hakuna dalili za upatikanaji wa mimba. Naomba mnisaidie kwa mnofahamu kuhusu utungishwaji wa mimba Nina ham sana ya kuitwa baba.
Msaada tafadhali!!!
Nawasilisha kwenu wakuu.
pole sana nenda kwa daktari mkapimwe sio jambo la kawaidaMsaada ninaohitaji hapa wana jf ni kwa wale wataalamu wa masuala ya Reproduction. Tupo ktk ndoa yapata miezi saba sasa na hakuna dalili za upatikanaji wa mimba. Naomba mnisaidie kwa mnofahamu kuhusu utungishwaji wa mimba Nina ham sana ya kuitwa baba.
Msaada tafadhali!!!
Nawasilisha kwenu wakuu.
miezi saba? mbegu zinaenda wapi?Mkuu miezi saba mapema sana kuwa na stress unless unajishtukiaa...hujawahi kuwa hata na wakusingiziwa? kula vizuri,fanya mazoezi na pata mda kupumzika kitu kitajipa tu...
aende kupimwa sperm zake
Tatizo anaonekana ana usongo wa kupata mtoto hivyo nadhani hata wakati wa shughuli anawaza hilo tu si ajabu hata akitema vimbegu vyake haviendi mbali vinaishia hapo hapo mlangoni kwenye K ya my wife wakeaende kupimwa sperm zake
Mkuu wataalamu wanasema baada ya mwaka na kuendelea ndo couples wanaweza kuwa na wasiwasi........but chini ya hapo labda bado wanazoeanaaa....miezi saba? mbegu zinaenda wapi?
Umeandika kweliTatizp anaonekana ana usongo wa kupata mtoto hivyo nadhani hata wakati wa shughuli anawaza hilo tu si ajabu hata akitema vimbegu vyake haviendi mbali vinaishia hapo hapo mlangoni kwenye K ya my wife wake