Msaada wanaJF, tafadhali nina tatizo

fuata kalenda halafu fanya kifo cha mende usimkunje kunje .. mle vizuri asiwe na stress
Dah watu mnachekesha sana.
Kwani hiyo mikao inauhusiano wowote na kukomaa kwa yai kwenye siku za hatari hati kuzuia utungaji mimba??
 
Daaaaaa jamaangu miezi saba tu ushaanza kuweweseka je ikitokea miaka miwili, mitano si utatangaza dunia nzima,nendeni hospitalini mkapime kama waona mnachelewa
 
Jarbu kumuona daktari kama unahisi mnamatatizo ya uzazi. Kuwa mvumilivu tu na mpende mke wako mara mbili zaidi ya mwanzo
 
Dah watu mnachekesha sana.
Kwani hiyo mikao inauhusiano wowote na kukomaa kwa yai kwenye siku za hatari hati kuzuia utungaji mimba??
kuna mwingine mayai yanakomaa ila mikao yake sasa ndiyo mibovu...
 

JE, huwa unangonoka na mke wako? maana haujasema!!! kama haumuingilii mkeo hawezi kupata mimba bro.

usikute mnalala na kuamka na kupika na kupakua ukajua ndo maana ya ndoa.....take it
 
miezi 7? You are not serious
 
Soma tena na tena post ya 3 mpaka ya 10 halafu ukafuatilie walivyokwambia. Kwenye hiyo picha uliyochorewa ya mzunguko wa kalenda kwenye hizo siku zilizoandikwa 'hatari' mwambie mkeo awe anajicheki kwa kuweka huko kidole. Akikuta ute mzito mzito atakuwa na hakika yai limepevuka' na uwezekano wa kupata ujauzito ni mkubwa. Pia joto lake la mwili linaongezeka siku hizo. Kama mzunguko wake haufiki siku 28, tarehe ya kupevuka yai bado ni siku 14 kabla ya mzunguko unaofuata kuanza. Yaani, kama mzunguko ni siku 26 na ameanza hedhi tar moja, basi tar ya yai kutoka ni 12 sio 14. Kama mzunguko ni siku 30 tarehe ya yai ni 16 sio 14. Siku 3 hadi 4 kabla na baada ya tar ya yai kutoka ndio tar nzuri kwa uzazi. Nimetumia sana njia hii ni nzuri sana na ukishaijuia utapanga watoto unavyotaka. Halafu, wakati uko na wife usiwe unafikiria namna ya kupata mtoto. Uwe unafikiria namna ya kumridhisha yeye, ufanye taratibu kwa 'kujinyima' mpaka unahakikisha anaanza mshindo yeye kabla wewe hujaachia. Ukiwa kwenye kifo cha mende ukiweza hivyo, wakati wa kuachia ndio ujaribu kupeleka mpaka mwisho. Mbegu zako zitaenda mbali zaidi kwa hiyo hata kama mbegu zako hazina nguvu sana bado zitakutana na yai la mkeo.
 
Kula vitu hivi braza,karanga mbichi,mihogo mibichi,bamia,ufuta,pilipili,tangawizi,tikiti maji,,,piga unavoweza ,usisahau mazoezi,,,ukifanya ivo bas umewin.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…