@JuaKali wewe mkubwa umejuaje kama ni anaongelea
laptop? Ndio maana Nikamuuliza
Brand na Model. Wewe unaweza usione ni swali la muhimu Lakini kwenye remote troubleshooting na support nazofanya mm kitu cha kwanza nijue. This is my
approach na inasaidia kuondoa maswali mengi tu au na hivyo kusaidi kutrobleshoot true problem kwa haraka.
Pili elewa kuna baadhi ya model au clone machine zina matatizo fulani specific. Hivyo kujua Model sio jambo la kupuuzia kwenye
remote troubleshooting
Mimi matatizo niliyoelewa ni
mawili ambayo ni tofauti kabisa
- Kompyuta kujizima akiwa anafanya Scanning-Tukijua Model atleast tutajua Minimum Memory iliyokuwa kwenye hiyo mashine.tukijua Model tutajua kamani laptop au Kompyuta.Ukijua Model unaweza kusoma forums kuona kama ni tatizo la kawaida kwa watumiaji wengine. Ukijua Model unaweza kujua hata aina na ukubwa wa HDD Hardrive unahisi wewe ni tatizo.Kama inajizima akifanya scanning tatizo sio space ya Hard drive tatizo laweza kuwa ni Memory.
- Slowness akiwa anatumia mtandao.
Sasa mtu akiwa remote asipokuwa na detail za kutosha tunaweza tukaja na sababu zaidi ya hata kumi. The more anavyotoa detail the more uwezo wa ku identify
true problem unakuwa mkubwa.