Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,264
- 678
WanaJF naomba Msaada
Laptop yangu iko slow saana inatumia window VISTA nikiwa natumia internet inakuwa slow saana. Nimejaribu kuscan using Avira lakini ikiscan na kufika katikati inazimika, hapo nalazimika kuwasha tena
Ku scan ni kuondoa virus....ila kama una too many program boot at once....linaweza kuwa ni tatizo...kingine..fanya some disk clean up...to remove..files.
@Mtazamaji hivi ni kwa nini badala ya kujibu swali unatanguliza maswali kibao? Kitu ukikijua eleza yaishe hii mambo ya kuulizana maswali kibao na mengine hayana uhusiano hata kidogo na isssue ya jamaa. Mfano Aina na Model ya computer vina uhusiano gani na kuwa slow unabrowse net?
@King of Kings Jaribu kufuata ushauri wa BUSWELU kwa kuanzia, Kuna uwezekano mkubwa sana Hard drive yako haina space ya kutosha au kuna program zimekorofisha, Assumption Laptop ilikuwa inafanya kazi sawa sawa siku za nyuma. Clean up temporary and cached files. Halafu unaweza kutusaidia kidogo kwanza Iwashe halafu anza kuscan halafu hold down ctrl + Alt + Delete kwa pamoja, Windows task Manager itafunguka click Performance tab halafu tuambie Idadi ya processes na CPU Usage na hapo kwenye kibox cha Physical Memory tupe : Total na Available
Funga programs zote kisha fungua command prompt harafu type hii command "chkdsk c:/f" Itakutatulia kama kuna tatizo katika hard disk yako.
@JuaKali wewe mkubwa umejuaje kama ni anaongelea laptop? Ndio maana Nikamuuliza Brand na Model. Wewe unaweza usione ni swali la muhimu Lakini kwenye remote troubleshooting na support nazofanya mm kitu cha kwanza nijue. This is my approach na inasaidia kuondoa maswali mengi tu au na hivyo kusaidi kutrobleshoot true problem kwa haraka.
Pili elewa kuna baadhi ya model au clone machine zina matatizo fulani specific. Hivyo kujua Model sio jambo la kupuuzia kwenye remote troubleshooting
Mimi matatizo niliyoelewa ni mawili ambayo ni tofauti kabisa
Sasa mtu akiwa remote asipokuwa na detail za kutosha tunaweza tukaja na sababu zaidi ya hata kumi. The more anavyotoa detail the more uwezo wa ku identify true problem unakuwa mkubwa.
- Kompyuta kujizima akiwa anafanya Scanning-Tukijua Model atleast tutajua Minimum Memory iliyokuwa kwenye hiyo mashine.tukijua Model tutajua kamani laptop au Kompyuta.Ukijua Model unaweza kusoma forums kuona kama ni tatizo la kawaida kwa watumiaji wengine. Ukijua Model unaweza kujua hata aina na ukubwa wa HDD Hardrive unahisi wewe ni tatizo.Kama inajizima akifanya scanning tatizo sio space ya Hard drive tatizo laweza kuwa ni Memory.
- Slowness akiwa anatumia mtandao.