Msaada wanapouza vitu vya jumla

Msaada wanapouza vitu vya jumla

Raia mpya

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2022
Posts
673
Reaction score
1,915
Natanguliza Salaam kwenu ndugu zangu mimi ni kijana mwenzenu nahitaji kujiajiri sasa changamoto ipo sehemu wanapouza bidhaa kwa jumla hasa hizi consuming product kama pipi, biskuti miswaki nk

So kwa anaefahamu anaweza niambia ni wap semehu nzuri inauzwa hizo bidhaa kwa bei ya chini maana mi nataka ninunue kwa jumla na niende kuuzia watu kwa bei ya jumla na mimi pia niweze pata faida.
 
Wewe upo mkoa gani?ukienda kwenye soko lolote kubwa la kila kata ukiulizia utaoneshwa duka la jumla la vyakula na consumables zote
 
ingekua bidhaa kama nguo,viatu, electronic ningekusadia sababu ni kkoo ila pipi ,miswaki ,biskuit sjui maduka Yao Ile Kwa kkoo yapo ila sjui bei zao Wala maduka
 
Natanguliza Salaam kwenu ndugu zangu mimi ni kijana mwenzenu nahitaji kujiajiri sasa changamoto ipo sehemu wanapouza bidhaa kwa jumla hasa hizi consuming product kama pipi, biskuti miswaki nk

So kwa anaefahamu anaweza niambia ni wap semehu nzuri inauzwa hizo bidhaa kwa bei ya chini maana mi nataka ninunue kwa jumla na niende kuuzia watu kwa bei ya jumla na mimi pia niweze pata faida.
Uko mkoa gani?
 
Kama upo Dar'salaam.. Nenda mjini Kati tafuta Kituo Cha mwendokasi Cha #Kisutu then ulizia sheli ya PUMA.. huko ndugu yangu ndio kwenye machimbo ya Vitu hivyo.
Maduka mengi ya Jumla Kama sio yote ya mtaani hapa Dar'salaam wanachukulia Baadhi ya Vitu vyao huko..
#0674 7454 63
 
Natanguliza Salaam kwenu ndugu zangu mimi ni kijana mwenzenu nahitaji kujiajiri sasa changamoto ipo sehemu wanapouza bidhaa kwa jumla hasa hizi consuming product kama pipi, biskuti miswaki nk

So kwa anaefahamu anaweza niambia ni wap semehu nzuri inauzwa hizo bidhaa kwa bei ya chini maana mi nataka ninunue kwa jumla na niende kuuzia watu kwa bei ya jumla na mimi pia niweze pata faida.
Siyo wote ni vijana wenzio. Wengine babu zako. Any way uko mji gani?
 
Back
Top Bottom