Wewe upo mkoa gani?ukienda kwenye soko lolote kubwa la kila kata ukiulizia utaoneshwa duka la jumla la vyakula na consumables zoteNatanguliza Salaam kwenu ndugu zangu mimi ni kijana mwenzenu nahitaji kujiajiri sasa changamoto ipo sehemu wanapouza bidhaa kwa jumla hasa hizi consuming product kama pipi, biskuti miswaki nk
So kwa anaefahamu anaweza niambia ni wap semehu nzuri inauzwa hizo bidhaa kwa bei ya chini maana mi nataka ninunue kwa jumla na niende kuuzia watu kwa bei ya jumla na mimi pia niweze pata faida.
Uko mkoa gani?Natanguliza Salaam kwenu ndugu zangu mimi ni kijana mwenzenu nahitaji kujiajiri sasa changamoto ipo sehemu wanapouza bidhaa kwa jumla hasa hizi consuming product kama pipi, biskuti miswaki nk
So kwa anaefahamu anaweza niambia ni wap semehu nzuri inauzwa hizo bidhaa kwa bei ya chini maana mi nataka ninunue kwa jumla na niende kuuzia watu kwa bei ya jumla na mimi pia niweze pata faida.
Kama upo Dar'salaam.. Nenda mjini Kati tafuta Kituo Cha mwendokasi Cha #Kisutu then ulizia sheli ya PUMA.. huko ndugu yangu ndio kwenye machimbo ya Vitu hivyo.Natanguliza Salaam kwenu ndugu zangu mimi ni kijana mwenzenu nahitaji kujiajiri sasa changamoto ipo sehemu wanapouza bidhaa kwa jumla hasa hizi consuming product kama pipi, biskuti miswaki nk
So kwa anaefahamu anaweza niambia ni wap semehu nzuri inauzwa hizo bidhaa kwa bei ya chini maana mi nataka ninunue kwa jumla na niende kuuzia watu kwa bei ya jumla na mimi pia niweze pata faida.
Siyo wote ni vijana wenzio. Wengine babu zako. Any way uko mji gani?Natanguliza Salaam kwenu ndugu zangu mimi ni kijana mwenzenu nahitaji kujiajiri sasa changamoto ipo sehemu wanapouza bidhaa kwa jumla hasa hizi consuming product kama pipi, biskuti miswaki nk