Msaada wanasaikolojia- Machozi yamekua karibu hua najiskia kulia mara kwa mara

hii ni kawaida mbona, hata Mimi am always crying...nikiwa happy, nikiwa sad, nikiwa excited, hata nikiwa low..!
 
Habari zenu wana jamii forum, tatizo langu hua na low mood (easily upset) inayonipelekea kujiskia kulia without a strong reason. je nifanyeje niepukane na hii hali?
jifunze ku balance your life inside out...kuwa na kaisi na kila jambo...jaribu kila unapotaka kula kujiuliza sabbat hasa ya kukufanya ulie nini? deal na kiini cha tatizo na sio matawi ya tatizo.
Jifunze kusoma vitabu vya self help.
 
Habari zenu wana jamii forum, tatizo langu hua na low mood (easily upset) inayonipelekea kujiskia kulia without a strong reason. je nifanyeje niepukane na hii hali?
Use that thing I adviced you
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…