Msaada Wanasheria na Lacunas in Contract law,Sales law,Agency and Partnership law

Isumbwile

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2012
Posts
801
Reaction score
361
Habari zenu Great thinkers, nilikuwa naandaa business research plan for a certain project and nimekutana na challenge ya kujua some of the lacunas that are in contract law, sales law, Agency law, Partnership law and Company law. Please naomba msaada wenu lawyers na hizo lacunas. Thanks in Advance!
 
habari zenu great thinkers, nilikuwa naandaa business research plan for a certain project and nimekutana na challenge ya kujua some of the lacunas that are in contract law, sales law, agency law, partnership law and company law. Please naomba msaada wenu lawyers na hizo lacunas. Thanks in advance!

kazi kweli kweli,mimi nadhani wewe ndo kwanza ungezionesha izo lacuna ulizokumbana nazo wkt ukiandaa hiyo reseach yako.lacuna ni neno la kisheria simply gap
 
Mkuu nimejaribu kupitia some of the notes but imekuwa ngumu kidogo kuweza kujua what are the gaps because knowledge yangu ya sheria ni ndogo, so that's why nimeomba msaada kwenu nyie wanasheria since haya mambo ya contract law na nk mmeyasoma kwa undani kidogo so hopefully the lacunas/mapungufu ya hizi laws mtakuwa familiar nazo.
 
Nikitulia ntajaribu kukuwekea mana mambo mengi
 
Jaribu kupitia hukumu vitabu na machapisho ya Hon Judge Lord Denning utapata msaada wa kutosha
 
Habari zenu Great thinkers, nilikuwa naandaa business research plan for a certain project and nimekutana na challenge ya kujua some of the lacunas that are in contract law, sales law, Agency law, Partnership law and Company law. Please naomba msaada wenu lawyers na hizo lacunas. Thanks in Advance!

Kwa kweli hii imekaa ki assignment tena assignment ya MBA..aisee...!!
 
Back
Top Bottom