habari zenu great thinkers, nilikuwa naandaa business research plan for a certain project and nimekutana na challenge ya kujua some of the lacunas that are in contract law, sales law, agency law, partnership law and company law. Please naomba msaada wenu lawyers na hizo lacunas. Thanks in advance!
kazi kweli kweli,mimi nadhani wewe ndo kwanza ungezionesha izo lacuna ulizokumbana nazo wkt ukiandaa hiyo reseach yako.lacuna ni neno la kisheria simply gap
Mkuu nimejaribu kupitia some of the notes but imekuwa ngumu kidogo kuweza kujua what are the gaps because knowledge yangu ya sheria ni ndogo, so that's why nimeomba msaada kwenu nyie wanasheria since haya mambo ya contract law na nk mmeyasoma kwa undani kidogo so hopefully the lacunas/mapungufu ya hizi laws mtakuwa familiar nazo.
Habari zenu Great thinkers, nilikuwa naandaa business research plan for a certain project and nimekutana na challenge ya kujua some of the lacunas that are in contract law, sales law, Agency law, Partnership law and Company law. Please naomba msaada wenu lawyers na hizo lacunas. Thanks in Advance!