1) Kubaka ni kosa la jinai (criminal offence)
2) Ikiwa limetendeka katika mazingira ya kazi/wakati/eneo la kazini na mbakaji na victim ni wafanya kazi/mfanya kazi mwenzio..Basi kosa hili mbali na kuwa criminal offence basi pia litakuwa ni kosa gross misconduct kwa mnasaba wa sheria za kazi..na muajiri wako anaweza kukuachisha kazi kwa sababu hiyo.baada ya kufuata taratibu za kisheria za kuterminate mkataba wa ajira.
Summary:
Rape may be both Criminal offence and Gross misconduct in terms of labour laws.so it will depend on circumstances/place inwhich the offence was committed.
kubaka automatically ni criminal offense... (kosa la jinai).
Sasa linaendelea kuwa gross misconduct kutegemea umebaka kwa mazingira yapi, mfano ukibaka kwenye mazingira ya kazi basi moja kwa moja ni gross misconduct