Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,623
- 8,442
Mimi sio mlinzi na kazi yangu ni kuanzia saa 2 asubuhi mpaka 10 jioni na hii ni ya part time not full timeUnaweza kula ugali dagaa saa kumi na moja alfajiri unapokuwa umetoka kazini
kwani nafasi ya ubahili bado inashikiliwa na wapare ?Pole Sana mwalimu wa tempo.
Pambana utafute shughuli nyingine kwa kiasi hiko hata Mpare sijui Kama anaweza akakipangia bajeti
Yani wale wanachouza?Kama unamke apike mama ntilie na kula yenu iwe humo humo.
Mlo wa watu katika kilo tano za makandeYani wale wanachouza?
Kua makini!
Mbona kaongea vizuri tu,kama mkewe ni mama ntilie kapika wali kilo 5 ,watakula sahani 2,shida ipo wapiYani wale wanachouza?
Kua makini!
Aiingii akilini kula unachouza!Mlo wa watu katika kilo tano za makande
Unaona mkuu, kumbe mchawi wa biashara ni wewe mwenyew..unakula unachouza!Mbona kaongea vizuri tu,kama mkewe ni mama ntilie kapika wali kilo 5 ,watakula sahani 2,shida ipo wapi
Sent from my SM-P585 using Tapatalk
Kwani mkuu,wahudumu hotelini wanakula wapiUnaona mkuu, kumbe mchawi wa biashara ni wewe mwenyew..unakula unachouza!
Ushasema hotel, hawa wa nyumbani watajifilis mchan kweupe!Kwani mkuu,wahudumu hotelini wanakula wapi
Sent from my SM-P585 using Tapatalk