Mkuu nataka kujua jinsi ya kufuta msg niliyotuma kwa bahati mbaya, kule ionekane tu "deleted"Utaipata kwa kubonyeza kitufe cha whatsapp kinachoonekana juu ya kioo cha simu yako na kisha meseji hiyo itafunguka utaisoma.
Mbon nashindwa*ivi*
Andika hivi.*ji*ni*
Sio colour ni color[COLOUR=GREEN]HANNOVER
thanksSio colour ni color