kama hivi yaani [bold] ama??Habari za muda ndugu wa JamiiForums
Naenda moja kwa moja. Huwa natamani sana na mimi kufanya bolding ya maneno whatsap au humu ila huwa siwezi. Naomba mwenye uzoefu anielekeze. Alafu pia maneno ya rangi.
Asanteni, nawasilisha.
hivi?
Mbavu zangu utanilipa zikivunjika***** najaribu tena