haroun maira
New Member
- Jun 25, 2016
- 4
- 1
ShukranUkitaka ku bold maneno whatsaap unaweka nyota mbili ** kati ya maneno unayotaka kuyabold.Yan kama unataka kubold neno JINI unaandika *JINI*
Na kama unataka ku bold humu JF unatakiwa kuwa na hii setup katikati ya hayo maneno unaweka maneno unayotaka ku bold.KUMBUKA KATIKATI YA MANENO NA HAYO MABANO USIACHE NAFASI.Mfano naweka katikati neno JINI yan JINI
[
Italic wasap je unaekaje?? Msaada plzUkitaka ku bold maneno whatsaap unaweka nyota mbili ** kati ya maneno unayotaka kuyabold.Yan kama unataka kubold neno JINI unaandika *JINI*
Na kama unataka ku bold humu JF unatakiwa kuwa na hii setup katikati ya hayo maneno unaweka maneno unayotaka ku bold.KUMBUKA KATIKATI YA MANENO NA HAYO MABANO USIACHE NAFASI.Mfano naweka katikati neno JINI yan JINI
[
Nokia Lumia mkuuUnatumia simu ya aina gani na browser ?
Umefanyaje?nimeweza
[vizuri]nimeweza