Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

★Kwa kukata neno whatsap unaweka ~neno~
★Kwa kubadilisha muandiko kuwa mlalo unaweka _neno_
★Kwa kubold unaweka *neno*
★Kwa kukata neno ulilobold unaweka ~*neno*~
That is[emoji111]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…