Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

[duh] afadhali nasi tumejifunza
Yani hapo ulipoweka duh ingetakiwa uweke alafu hiyo afadhali isiache nafasi hapo inabanana na hayo mabano hapo inakuwa tayari umeibold iyo afadhali na hii haitaonekana yani itakuwa kama hivi afadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…