Kwa JF web view ni rahisi... Kila kitu kipo wazi...
Symbols hizo zapatikanaje?View attachment 525721
Tumia symbols hizo kubadili na kuremba mwandiko utakavyo...
Umefanyaje lakini kwa watsap? Nielekeze mkuu maana wanatunyanyasa na bold zaoKwangu imekubali kwa upande wa whatsap