mtoto wa miaka chini ya saba (7) anatakiwa kukaa na mama yake, unless zipo sababu zinazoonyesha kuwa, kwa kukaa na mama yake mastahi bora ya mtoto huyo yataathirika. that means, kama wewe unayeongea ndiye mwanamke mwenye uyo mtoto wa miaka miwili, unatakiwa kukaa na huyo mtoto, hatakiwi kunyang'anywa. kama ndio hukumu imetolewa na mahakama namna hiyo unaweza kukata rufaa kwa mahakama iliyo juu yake. sijui kama aliye solve hiyo issue ni mahakama au nje ya mahakama.Je, kuna sheria inayosema mtu akizaa na mwanaume mwingine na kuachana na mumewe anyang'anywe mtoto mdogo wa miaka miwili?
Nisaidie bac mpendwa ile sheria ya mtot chini ya miaka saba anakaa na mama ni ya mwaka gani na kipengele gani?
Umeridhika?Nisaidie bac mpendwa ile sheria ya mtot chini ya miaka saba anakaa na mama ni ya mwaka gani na kipengele gani?