Msaada: Wanunuzi wa Graphite.

tisa desemba

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Posts
434
Reaction score
115
wadau, naombeni msaada wa kufahamishwa juu ya wanunuzi/mawakala wa biashara ya graphite au mahali lilipo soko la graphite hapa nchini.
pia nakaribisha wabia wa biashara hii kwani ninayo deposit kubwa shambani kwangu. natanguliza shukurani...
 
kwa nyongeza, graphite ni mawe yenye asili ya makaa ya mawe ambayo hutumika kutengenezea penseli, betri zote za Li ion, brake lining, fire powder, steel lubricants etc
 
subiri wachina au mawakala wao watakuja mda si mrefu...
 
wadau, naombeni msaada wa kufahamishwa juu ya wanunuzi/mawakala wa biashara ya graphite au mahali lilipo soko la graphite hapa nchini.
pia nakaribisha wabia wa biashara hii kwani ninayo deposit kubwa shambani kwangu. natanguliza shukurani...
kaka naomba tuwasiliane mapema sana ,I am very serious naomba ni pm namba yako fasta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…