Denis Yustad
Member
- Mar 16, 2020
- 10
- 1
Kwa wale mnaojua ufundi wa wa magari na wenye aidia na mambo ya ufundi.
Hivi Steering Rack ikiisha anza kuvuja, inaweza kutengenezwa? Au ndo inakuwa tayari imeharibika ni kuitoa na kuweka mpya?View attachment 1402745
Sent using Jamii Forums mobile app
AhsanteIkivujisha INA maana kuna seal zimeharibika, cha kufanya ni kuzitoa seal zilizoharibika na kuweka nyingine.
Pia ni lazima uhakikishe shaft haina michirizi itayosababisha kuvuja.
Changamoto ni ubora wa seal zilizopo madukani, huwa hazidumu saana!
Sent using Jamii Forums mobile app