habali wapendwa naomba mnisaidie mdogo wangu ameapply tcu nikiangalia kwenye profile yake mwishoni kabisa kuna kisehemu kimeandikwa huo ujumbe hapo juu {you have been succesiful selected}ila hapana jina la chuo nisaidieni majina ya waliochaguliwa yanapatikana wapi na je huu ujumbe ni confarmation tosha.
me mwenyewe me andikiwa ivyoKakidhi vigezo selection bado ila ana vigezo vyote vya kuwa selected asubiri mpaka admision ifanyike ndo atajua chuo gani anaenda hapo tcu ndo watatoa ila hadi hapo alipo fikia ni mwanachuo toshaa congrts
Kama we uja apply huwezi elewa anauliza nni.sa Wameandika umechaguliwa hlf hawajaandika koz gani wala chuo gani maana kuna selection tanoMaswali mengne bhana!!
Post zile zile,vitu simple but mpaka muulize ujinga
asanteni wote kwa michango yenu nimeelewa maana nilichanganyikiwa Mungu wetu awabariki .na samahani niliowakwaza kwa ujinga wangu si mnajua tunazidiana uelewa.