Msaada: Wapi Dar wanauza water pampu used

Joined
May 11, 2016
Posts
75
Reaction score
149
Nauliza kwa hapa Dar ni wapi naweza kununua water pump used za kutumia mafuta. Natanguliza shukrani.
 
Mkuu nenda Kariakoo zipo nyingi tu. Cha muhimu ulizia wadau brand gani nzuri ya kununua.
 
Pump used itakusumbua sana. Bei ya mpya inch 3 na 7HP unapata kwa bei nzuri kuanzia 300k mpaka 350k bila mpira wala koromeo.

Mpaka mtu akuuzie used lazima ishampa kashkash kadhaa. Ikupige tukio uko zako porini huko uanze kulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…