Puna JF-Expert Member Joined Oct 9, 2013 Posts 2,551 Reaction score 4,454 Sep 20, 2015 #1 Mlioko Dar es Salaam ni wapi wanahuduma mzuri ya kug'oa meno na gharama zake au kama wanapokea bima ya NHIF. Asanteni.
Mlioko Dar es Salaam ni wapi wanahuduma mzuri ya kug'oa meno na gharama zake au kama wanapokea bima ya NHIF. Asanteni.
lidoda JF-Expert Member Joined Apr 27, 2008 Posts 641 Reaction score 574 Sep 21, 2015 #2 Mkuu achana an kung'oa meno..suluhisho ni kusafisha Hilo jino an kuziba kama kuna tundu
Upepo wa Pesa JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 21,600 Reaction score 35,158 Sep 21, 2015 #3 lidoda said: Mkuu achana an kung'oa meno..suluhisho ni kusafisha Hilo jino an kuziba kama kuna tundu Click to expand... Dawa kamili ya jino ni kung'oa ndugu yangu. Uliza mziki wa kung'oa jino ukoje, hapo ndipo balaa lilipo!!
lidoda said: Mkuu achana an kung'oa meno..suluhisho ni kusafisha Hilo jino an kuziba kama kuna tundu Click to expand... Dawa kamili ya jino ni kung'oa ndugu yangu. Uliza mziki wa kung'oa jino ukoje, hapo ndipo balaa lilipo!!