Msaada: Wapi ilipo huduma mzuri ya kung'oa meno?

Puna

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2013
Posts
2,551
Reaction score
4,454
Mlioko Dar es Salaam ni wapi wanahuduma mzuri ya kug'oa meno na gharama zake au kama wanapokea bima ya NHIF.

Asanteni.
 
Mkuu achana an kung'oa meno..suluhisho ni kusafisha Hilo jino an kuziba kama kuna tundu
 
Mkuu achana an kung'oa meno..suluhisho ni kusafisha Hilo jino an kuziba kama kuna tundu

Dawa kamili ya jino ni kung'oa ndugu yangu. Uliza mziki wa kung'oa jino ukoje, hapo ndipo balaa lilipo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…