tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,129
pole na malaria,je umepima? na ukipima mara kwa mara umekuwa unakutwa na ngapi? na je unatumia dawa sahihi? na huwa unacheki Typhoid eleza vizuri naweza kukusaidia nina utaalam na hilo kidogo
pole na malaria,je umepima? na ukipima mara kwa mara umekuwa unakutwa na ngapi? na je unatumia dawa sahihi? na huwa unacheki Typhoid eleza vizuri naweza kukusaidia nina utaalam na hilo kidogo
Mkuu kama umepata offer si uende INDIA!Wadau naomba mnijuze hospital nzuri ambayo naweza pata matibabu ya uhakika. Ni zaidi ya mwaka sasa nasumbulia na malaria na sijawahi pata nafuu hata siku moja. Kwa sasa nimepata offer ya kutafuta mahali pa uhakika pa kutibiwa. Naomba msaada wenu
Mkuu kama umepata offer si uende INDIA!