Dah, ahsanteni sana wakuu, niko Dar, kijitonyama.
Karibia kila wiki napitaga pale posta kubadili but sijawahi kujua kama wanakubali za mwaka huo,
Ngoja niwahi fasta wasije wakafunga,
M'barikiwe sana.
.....Sasa kumbe wajanja ''wamenipiga'' kwa kuchomeka noti 2x$100 za mwaka 2003 ambazo hazitumiki.
Sasa kuna popote ambapo naweza kubadili hizi noti...