Msaada: Wapi naweza kujifunza ufundi Feni, pasi na redio?

Msaada: Wapi naweza kujifunza ufundi Feni, pasi na redio?

Acha Maneno

Member
Joined
Oct 6, 2018
Posts
36
Reaction score
46
Habari zenu Wakuu,

Naomba msaada kujifunza ufundi feni, pasi na Redio/Subwoofer.

Nipo tayari kutoa hela ili nipate ujuzi huo kwa muda maalumu.
 
Kuna jamaa amenifundsha mimi ni fundi wa uhakika kiufupi amesomea ila shida ni kwamba huwa na kaa dsm na kurudi mtwara make mi npo mtwara
 
una idea kiasi au ndiyo begginer? jama ana uunda amplifier,inverter ,na anatengeneza vifaa vyote vya umeme isipokuwa simu
 
Back
Top Bottom